NEW NEW NEW TANGAZO LA MAFUNZO KWA MADEREVA WA UTALII

poster ya tangazo la mafunzo Chuo cha ufundi Arusha (Arusha Techinical college) chenye uzoefu mkubwa wa kutoa nafunzo ya udereva wa kuendesha magari ya watalii, Kikishirikiana na TATO mkoa wa Dar Es Salaam Kinawakaribisha madereva kwenye mafunzo ya udereva wa magari ya ABIRIA (PSV) kwa madereva waendeshao magari ya kitalii, awamu ya kwanza ya mafunzo itaanza tarehe 29/05/2023

Mafunzo yatafanyika katika chuo cha FUTUREWORLD VOCATION INSTITUTE

Kumbuka; watakaoruhusiwa kushiriki mafunzo haya ni wale wenye leseni walau daraja D na wenye leseni za madaraja c , c na c bila kuwa na vyetu

CLICK HERE TO APPLY APPLY NOW

Related Posts

Comments