Chuo cha ufundi Arusha (Arusha
Techinical college) chenye uzoefu
mkubwa wa kutoa nafunzo ya udereva
wa kuendesha magari ya watalii,
Kikishirikiana na TATO mkoa wa
Dar Es Salaam Kinawakaribisha
madereva kwenye mafunzo ya
udereva wa magari ya ABIRIA (PSV) kwa
madereva waendeshao magari ya kitalii,
awamu ya kwanza ya mafunzo itaanza
tarehe 29/05/2023
Mafunzo yatafanyika katika chuo cha FUTUREWORLD VOCATION INSTITUTE
Kumbuka; watakaoruhusiwa kushiriki mafunzo haya ni wale wenye leseni walau daraja D na wenye leseni za madaraja c , c na c bila kuwa na vyetu
CLICK HERE TO APPLY APPLY NOW
Comments